Relax by CHRISTINA SHUSHO
Music

Relax by Christina Shusho – Lyrics, Download & Video

Sharing is caring!

Relax by Christina Shusho lyrics

kurelax kurelax wee
Bwana atanibariki kwa kadiri ya utajiri wake
Kwa kipimo cha kujaa kusukwa sukwa hata kumwagika
Atanipa mahitaji yangu kwa kadiri ya utajiri wake
Kwa kipimo cha kujaa kusukwa sukwa hata kumwagika .

Also: Siyabonga Jesu by Solly Mahlangu

Nani apinge? alichosema Mungu
Nani alaani? alichobariki Mungu
Hakuna awezaye kuzuia, alichotenda Mungu
Na kama kuna pando, lopandwa na mwovu, Nangoa mi nangoa,
liloandikwa kwa hila, nafuta mi nafuta
Imeandikwa ntakuwa kichwa si mkia wa kwanza si wa mwisho .

Bwana atanibariki kwa kadiri ya utajiri wake
Kwa kipimo cha kujaa kusukwa sukwa hata kumwagika
Atanipa mahitaji yangu kwa kadiri ya utajiri wake
Kwa kipimo cha kujaa kusukwa sukwa hata kumwagika .

Also: Faya Faya by Henrisoul

Mi na relax narelax ooh
Mwenyewe amesema, Mi na relax narelax ooh
Atanipa utajiri wake, Mi na relax narelax ooh
Atanalisha kama ndege anagani, na relax narelax ooh
Atanipamba kama ua kondeni, Mi na relax narelax ooh
Yesu akisema atafanya ooh, Mi na relax narelax ooh
Neno lake ni amina na kweli, Mi na relax narelax ooh .

Bwana atanibariki kwa kadiri ya utajiri wake
Kwa kipimo cha kujaa, kusukwa sukwa hata kumwagika
Nangoja atimize, Mi na relax narelax ooh
Eeeh ooh Mi na relax narelax ooh
Atanipa mahitaji yangu, kwa kadiri ya utajiri wake

Download Relax by Christina Shusho audio/mp3

Relax by Christina Shusho Video

Sharing is caring!

You may also like...